Mr Teacher at work

Mr Teacher at work

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Mwalimu wa kitanzania akitimiza majukumu yake ya kulijenga taifa...

1001577_747214681972488_358612086_n.jpg
 
huyo denti nyuma ya aliyekenua meno kavaa soksi nyeupe najitolee kumpa tution bure
 
tatizo dogo kazidi kuleta jeuri, anajifanya anajua....
 
Kibaya zaidi kila akienda nmb ATM haisomi na tarehe zenyewe ndo hizi mbona dogo lazma afungwe p.o.p kwenye vizuia sarawili isishuke
 
Hiyo fimbo sijui ni nzito maana anavyoishusha
 
Hawa watoto wakati mwingine bila vionjo hawaendi.
 
Heee mwalimu kama anataka kuua sijui stress za maisha ndo anamalizia wanafunzi!

ndio maana mwalimu siku hizi wazazi hatukubali wapige watoto wetu. hapa unaona kabisa kuwa huyu sio mlezi bali ni askali wa kikoloni/polisi akitumia mitulinga bila akili kichwani!
 
Back
Top Bottom