MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Ok, happy valentine wadau wa macelebrity wakibongo,
Najua wote tumekua tukisikia mambo kadha wa kadha yakiendelea kuhusu ujauzito wa miss Tanzania mwaka 2006 (pichani) mara hivi mara vile. Hali hii ilimfanya Mr Tanzania mwaka 1973 (pichani) kutumia ukurasa wake wa instagram kuelezea ukweli wa mambo kama unavyoonekana hapa chini
Enough guys naona sms na messages nyingi sana kutaka niseme something kuhusu my Super Friend Wema Sepetu @wemasepetu na Maneno maneno mengi yaliyozagaa Mtaani kwamba amepoteza mtoto.....well, Wema is my close Friend Wiki Tatu zilizopita nilikwenda at her home alikuwa mjamzito, na Jumanne ya Wiki hii I was at her home again for Nyama Choma alikuwa mjamzito Mara ya mwisho kuonana naye uso kwa uso ilikuwa Jumatano tulikuwa pamoja mpaka Saa Tisa Asubuhi since then sijamuona wala kuongea naye kwa simu...in my life sijawahi kuongea bila FACTS sikuwahi kugusa Ujauzito wake mpaka tulipokutana uso kwa uso nikathibitisha mwenyewe so siwezi kuthibitisha anything mpaka nimeongea naye au kuonana naye tena uso kwa uso... Na infact nipo naye kwenye group maalum la watsap ambako anashiriki 100% sijaona dalili zozote kwamba ana matatizo ..... so please naomba watu muache kunitumia sms za kumuuliza Wema Sepetu I have no FACTS.....by the way Leo Saa Tano tukutane live at Jembe FM 93.7 Radio nitakuwa live pia kwa MASWALI NA MAJIBU live from MWANZA! - le Mutuz
Pia gwiji hilo la mitandao ambalo kwa sasa liko Mwanza ambapo lilienda kwa basi la kampuni ya Zuberi alitumia ukurasa wake instagram kuelezea kilichotokea kati ya mabinti wa kibongo na msanii toka Nigeria Techno
kisha kuweka maneno haya
With Nigerian Super Star Teckno @teknoofficial nimemuuliza lile Super swali alichonijibu ni "I am an innocent nigger, I did not do anything" leo usiku hapa kitanuka U KNOW! - le Mutuz
Gwiji huyo anategemea kurudi Dar wiki ijayo ambapo mashabiki wake wameandaa mapokezi ya heshima kutokea stand ya mkoa Ubungo mpaka ofisi zake downtown back to back na tayari kabisa kwa sherehe za super 2 years za super blogu ya wananchi