Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,235
Reaction score
13,539
Sina budi kukupongeza sana kwa achievement yako hapa JF.

Wadada na wakaka (hakuna wazee humu) tumpongezeni mwenzetu huyu kwa kufunika kabisa humu JF kwa kufikia Reputations Power zaidi ya laki saba 700,000. na posts 11,111.

Kwa kweli anastahili pongezi....Ni mwenzetu.....Ni mzalendo hasa wa nchi hii ya CHIT-CHAT.

Mr Rocky hoyeeee!!!!!!!!!! Chit chat hoyeeeeee!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kaka binamu Mr Rocky

Keep it up brother
 
Attachments

  • 90917Lc.jpg
    90917Lc.jpg
    8.9 KB · Views: 321
Last edited by a moderator:
Dah@arushaone assnte sana mkuu. Nafikiri pamoja na nyie mmekuwa chachu ya mimi kufika hapa. Nawashukuru sana members wa Chit chat na majukwaa mengine ambayo tumeshirikiana nao. Asante sana wadsu
 
Chocs asante sana binamu
Pamoja sana.
Nimekumiss😱
 
Last edited by a moderator:
Swahiba !
Nimepokea habari kwa kiana yake! Endelea kuweka heshma Jeiefu .
 
Dah@arushaone assnte sana mkuu. Nafikiri pamoja na nyie mmekuwa chachu ya mimi kufika hapa. Nawashukuru sana members wa Chit chat na majukwaa mengine ambayo tumeshirikiana nao. Asante sana wadsu

Hongera zako Mr Rocky nimekumisije jamani umenisusa hadi naogopa sio vizuri hivyo jamani
 
Binamu yangu Mr Rocky, kwanza nikupongeze Kisha nikutakie usiku mwema.
Nitupiemo na mimi basi ki-rep.
 
Last edited by a moderator:
Dah@arushaone assnte sana mkuu. Nafikiri pamoja na nyie mmekuwa chachu ya mimi kufika hapa. Nawashukuru sana members wa Chit chat na majukwaa mengine ambayo tumeshirikiana nao. Asante sana wadsu

kaka hongera!!

hivi kumbe home ni hungumalwa?

aisee nishapita sana huko nanunua nunua mpunga!!

aisee msimu ukishawasili wa mavuno nistue! teh teh!
 
Dah@arushaone assnte sana mkuu. Nafikiri pamoja na nyie mmekuwa chachu ya mimi kufika hapa. Nawashukuru sana members wa Chit chat na majukwaa mengine ambayo tumeshirikiana nao. Asante sana wadsu

Pamoja sana mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom