Mr president poses with president of"dr-smiles"

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,665
503
NICE PIC aaah! Picha no. 7.jpg
 
Sijakusoma kabisa. Ni nani huyu mama mwenye mguu namna hii
 
Naomba Mtie Maneno kwenye hii pic ...au. Baasi. Nnaeza Pigwa BAn wiki Nzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Duh hapa namkubali JK kwa kifaaa, yuko vizuri bhana, jamaa anajua kuchagua, hachagui bora mwanamke
 
Halafu huyu mama amevaa sare sare na baba Mwanaasha, sijui mwalimu Slama anajua huu umbea
 
Duh hapa namkubali JK kwa kifaaa, yuko vizuri bhana, jamaa anajua kuchagua, hachagui bora mwanamke
hivi huyu bingwa wa kupiga picha na masupa staa ndiyo kazi tuliyo mpa watanzania au ndiyo anayoiweza...
 
Aaaah! Dr.Rechel Mhaville huyo, anauza mapaja hapo, Kwa wale msiomfahamu, ni mdogo wa Joyce Mhavile wa ITV full kujipendekeza kwa magamba.
 
naona mkuu kifaa kimemchanganya anatoa siri zote.hata mi ningechanganyikiwa! huyo mama alipokuwa kigori sijui ilikuwaje?
 
it is nice photo, huyu ni raisi wa madactari wa vinywa! "dr smiles"
 
Aaaah! Dr.Rechel Mhaville huyo, anauza mapaja hapo, Kwa wale msiomfahamu, ni mdogo wa Joyce Mhavile wa ITV full kujipendekeza kwa magamba.

Aliolewa juzi juzi huyu Rachel, na sharo baro flani, hivi bado yumo kwenye ndoa? Manake nae mtundu kinamna!
 
kweli kila mtu ana kipaji na uwezo wake. Hakuna mjadala tunavamia kazi za watu wengine
 
Back
Top Bottom