Mzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....
La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kusex, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!
Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani, ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.