Mr.HUSSEIN BASHE

Mr.HUSSEIN BASHE

Hii CCM ya mafisadi wauaji,....bashe mwenyewe alibanwa korodani na mlango kwa sababu ya kuongea his mind,mimi baada ya NAPE ni BASHE kuna mapungufu kila mtu anayo ila Bashe asiposoma alama za nyakati atauwawa kisiasa na huenda akatengenezewa kifo BASHE HUSEIN hama chama cha mapinduzi,njoo huku tupambane na Lissu atakuwa ametia nanga mbona utanikumbuka.
sina imani nawe, unahitaji ubatizo wa moto na kiapo ndipo nikuamini
 
Nadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.

Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.

Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.

Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
Nakukumbusha alivyopambana kagame asipelekewe standard gauge .mwafrika mkamilifu atapambana waafrika wote watoke kiuchumi in short waafrika lazima tuinuane ili tuikabiri dunia mtazamo wake ni wakuring fence mawazo ambayo hayaisaidii africa
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Mkuu kukosoa haijawahi kuww kazi ngumu.kimbembe siku ukiwa mfanya maamuzi ndo utajuta ,
 
Mchambuzi wa uchumi ni kama wachambuzi wa soka, mpe timu aifundishe sasa .....kituko
Yes umesema yote ,utazikia mbona Fulani kaachwa ,mara mbona amewatumia viungo WAKATI waote mbwembe nyingi.sasa siku utakaapo pewa Tim ndo uta k po ona vituko
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Ana elements za Lowasa. Hawezi pewa chochote, labda kunyang'anywa na alichonacho!
 
Nadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.

Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.

Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.

Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
woiiiii ....mbona facts zake zipo open sana ziko vizuri pia nimoja ya majembe ambao wakitoa critics na ushauri anakupa ufanyeje ili undercome he is way better mimi mpinzani ila yupo vizuri
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Anauwezo mzuri, ila ana upuuzi mkubwa.

Alionyesha upuuzi wake pale alipotamka chadema wapigwe tu kwa vile serikali ni yao hakuna atakayewatisha.
 
woiiiii ....mbona facts zake zipo open sana ziko vizuri pia nimoja ya majembe ambao wakitoa critics na ushauri anakupa ufanyeje ili undercome he is way better mimi mpinzani ila yupo vizuri
Facts zake zipo mixed sana, haziakisi point zake. Mfano sikiliza hotuba hii ambayo alitumia sana statistics.
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Ni mtetezi wa wanyonge.Akiteuliwa uwaziri atafungwa mdomo.

Ni kama Kabudi alivyotupilia mbali hoja ya katiba mpya baada ya kulamba uwaziri.
 
Dalali huyo wa wasomali wenzie kwenye kupata vibari vya kuingiza sukari nchini watu wa pwani tunasema afai hata kwa kulumagia...
hizi chuki za kiswahili tabu sana huyu ni mtanzania hujaona majuzi dada yake kaukwaa kuleUSA
 
Sio mtanzania huyo msomali labda ww usie mjua mwenyewe anajinasibu kwa usomali wake mtanzania Rage maana ajinasibu nao usomali wake
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Rostam Aziz changaya na Lowassa.
 
Back
Top Bottom