Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,224
- 8,909
Naeza kuweka clip moja nikachambua na wewe au mtu yeyote akitaka atachambua. Tatizo nisije kuambiwa nime - cherrypick.Hili ndilo tatizo la watu wanaojiona wao wanachokijua ndio sahihi na mawazo ya wengine sio
Kwa vile umezungumzia facts, wewe ndio ulitakiwa utoe mfano wa hizo unazoziona kuwa ni uongo na unafiki. Badala yake unasukumiza uletewe ndio uchambue!
Ndiyo maana nikatoa nafasi.
Mimi huwa sitoi vitu kichwani mwangu, nataja numbers, sources etc...
Huwa nanukuu.