KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,174
Uko sahihi kuhusu mimi kuona hivyo.We we ndiyo unaona hivyo.
Ukiangalia post yangu ya Kwanzaa kwenye uzi huu utagundua nilitaka kuchallenge jinsi anavyonukuu takwimu na kuzitafsiri.
Lakini hapa chini sijaona hata mfano tu wa 'data' zozote ulizotumia ku-'crush' hayo unayosema kupikwa kama mfano, ila unakimbilia wengine walete ndio uonyeshe kwa kisingizio cha 'cherrypicking'.
Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.