Hiyo ni sababu ya msingi kuliko weledi wake?Dalali huyo wa wasomali wenzie kwenye kupata vibari vya kuingiza sukari nchini watu wa pwani tunasema afai hata kwa kulumagia...
Ndio maana yke. turudi kwenye kauli marehemu Bi kidude Bint Baraka mzoea udalali awezi kazi ya duka... kiongozi au uongozi ni kazi ya duka...Hiyo ni sababu ya msingi kuliko weledi wake?
Utanzania ni kabila flani flani au uarai hapo ndo mahali tumeachwa na mahali ambapo elimu imeahindwa kuwasaidia wabongoSio mtanzania huyo msomali labda ww usie mjua mwenyewe anajinasibu kwa usomali wake mtanzania Rage maana ajinasibu nao usomali wake
Utanzania ni uzalendo juu ya nchi yko lkn huyo Bashe ayupo hivyo yupo juu tumbo lake hlf kesho kutwa aende zake marekani wakt ss atuna pakwenda...hUtanzania ni kabila flani flani au uarai hapo ndo mahali tumeachwa na mahali ambapo elimu imeahindwa kuwasaidia wabongo
Sasa mbona hata wale waliojidalalia kama sio kudalaliwa wanapewa 'pande'....kina white r, kitambi...Ndio maana yke. turudi kwenye kauli marehemu Bi kidude Bint Baraka mzoea udalali awezi kazi ya duka... kiongozi au uongozi ni kazi ya duka...
Watanzania hao hkn shida...Sasa mbona hata wale waliojidalalia kama sio kudalaliwa wanapewa 'pande'....kina white r, kitambi...