GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,034
- 126,504
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Ana ' Uvuguvugu ' na ' Unafiki ' mwingi. Naomba niishie hapa tafadhali.