Mr. Blue: Mimi Ndio nilimtoa Alikiba, Bangi ilisababisha nidrop kimuziki

Kiba mwenyewe anasema Dully ndio kamtoa...anasema dully alimsikia anaimba hom kwao akamchukua mpaka sound crafter temeke kurekodi...
Tafuta video ya Mr blue na Abby skills ya 2004 inaitwa maria utamuona Ali kiba anaogopa kamera ndo bado alikuwa chipukizi hata hajulikani.
 
Unabisha au huyu dogo kibakuli alikuwa anacheza cheza tu mpira kabla hajakutana na wakina abby skyels n blue
Dully ndo kamtoa kiba wala blue hakuusika labda ana jipa maujiko tu mjomba wake ndo alikuwa anakaa karibu na dully ndo akaona huyu dogo anakipaji baada ya kusikia akiimbaa daah blue kazingua
 
Hii nyimbo ndo Ali kiba katolewa humor na Mr blue na Abby skills ndo walimuexpose mshikaji inawqzekana pia dully Ana mchango wake lakini huwezi kupuuzia Mr blue pia.
 
Kiba alikuwa na nyimbo yake aliyofanya na Dully kabla ya hiyo
 
Hii nyimbo ndo Ali kiba katolewa humor na Mr blue na Abby skills ndo walimuexpose mshikaji inawqzekana pia dully Ana mchango wake lakini huwezi kupuuzia Mr blue pia.

Haha sasa kuonekena kwenye video ndo nini sikiliza ile interview vizuri ya blue lete strong point hata sijampinga Mr blue ila dully wa every thing
 
Watu watabishana sana kuhusu kumsaidia Alli Kiba kuanza muziki ila hiyo siri anaijua Kiba mwenyewe. Kila mtu atajigamba kivyake. Ila cha kujiuliza katika hao waliomsaidia kutoka je wao wako wapi kimuziki?
 
Sioni tatizo labda kwa kuwa ameongea kibangi sababu blue alitoka kabla ya Ali Kiba nadhani yuko sahihi
 
Sasa hio video ya Mr.blue na diamond kupokea tunzo vinahusiana vepee alieleta huu uzi amekaakishabiki tu
 
Diamomd Platnumz ndio baba lao, hakunaga kama yeye. Itakuwa vizuri pia kuona wengine wanafikia au hata kuzidi, alipofika na anapozidi kwenda kwa baraka za Mungu.

Love mingi kwa Diamond jamani, inabidi nionane na huyu kaka maana naanza kukosa usingizi kila nikimuwaza mume wa Zari, anipe hug tu itanitosheleza kujisikia raha kama mshabiki wake na mpenda maendeleo mie mtoto wa kike.
Boy wako akiona hii post basi kitakachokupata usiache kuleta mrejesho kule kwenye jukwaa letu la malovee.
(Hakuna mwanaume anayekubali kuona mpenzi wake anamsifia mwanaume mwingine, kama unabisha fanya uchunguzi taratibu)
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
 
Boy wako akiona hii post basi kitakachokupata usiache kuleta mrejesho kule kwenye jukwaa letu la malovee.
(Hakuna mwanaume anayekubali kuona mpenzi wake anamsifia mwanaume mwingine, kama unabisha fanya uchunguzi taratibu)

Imebidi nicheke!!! Mapenzi ni kufikiana kama mwanaume anaonea wivu mwanamke sababu ya kuwa mshabiki basi yeye ana mapungufu makubwa....kwa upande wangu hayo hakuna kabisa na siwezi kukaribisha kutawaliwa kiasi hicho nikakosa uhuru wangu.
 
Back
Top Bottom