Ikiwa ni nje ya msikitiWakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia.
Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways.
Basi hapo ndio nikajua kuwa kama biashara ya ubwawa imefikia kuviziana kwenye nyumba za ibada, basi, huko majumbani ni shida tupu.
Mnapenda sana kulakula, mtalishwa hadi mavi.......Wewe utakuwa ni mgeni wa kuswalia misikiti hasa misikiti ya Dar,watu wanafanya biashara zao kama kawaida na hakuna shida,kufanya biashara ndani ya msikiti ndio vibaya....japo kuwa wale masheikh wauza madawa huwa wanazitangaza dawa zao pale mimbari kwa imamu halafu pesa wanaenda kupokelea nje...utakuwa umesalia msikiti wa kwa msusa mbagala rangi tatu kuna jamaa huwa anauza pilau la take away kwa buku anakupa na kijiko cha plastiki au nasema uongo ndugu yangu.Tuliza jazba sheikh hiyo ni kawaida jamaa huwa anauwa soko la mama lishe wanaouza pilau buku jero...mimi mwenyewe nilikuwa nikitoka msikiini napitia kabox kangu naenda kupoza njaa,tuvumiliane mkuu.
Umelazimishwa kijana?Mnapenda sana kulakula, mtalishwa hadi mavi.......
Sitakuja kula pilau mbagala
Basi nikadhani ni ile pilau nyingineWakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia.
Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways.
Basi hapo ndio nikajua kuwa kama biashara ya ubwawa imefikia kuviziana kwenye nyumba za ibada, basi, huko majumbani ni shida tupu.
Hashim Rungwe hakuwepo!!Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia.
Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways.
Basi hapo ndio nikajua kuwa kama biashara ya ubwawa imefikia kuviziana kwenye nyumba za ibada, basi, huko majumbani ni shida tupu.
Hapana chivala pilau za mabahariaPilau nyingine ipi, ya mchele wa Bismati?
🤣utakuwa umesalia msikiti wa kwa msusa mbagala rangi tatu kuna jamaa huwa anauza pilau la take away kwa buku anakupa na kijiko cha plastiki au nasema uongo ndugu yangu?