Mpya! Kuuza pilau nyumba za ibada

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
751
1,000
Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia.

Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways.

Basi hapo ndio nikajua kuwa kama biashara ya ubwawa imefikia kuviziana kwenye nyumba za ibada, basi, huko majumbani ni shida tupu.
 
GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,788
2,000
Wewe utakuwa ni mgeni wa kuswalia misikitini, hasa misikiti ya Dar,watu wanafanya biashara zao kama kawaida na hakuna shida,kufanya biashara ndani ya msikiti ndio vibaya....japo kuwa wale masheikh wauza madawa huwa wanazitangaza dawa zao pale mimbari kwa imamu halafu pesa wanaenda kupokelea nje...utakuwa umesalia msikiti wa kwa msusa mbagala rangi tatu kuna jamaa huwa anauza pilau la take away kwa buku anakupa na kijiko cha plastiki au nasema uongo ndugu yangu?Tuliza jazba sheikh hiyo ni kawaida jamaa huwa anauwa soko la mama lishe wanaouza pilau buku jero...mimi mwenyewe nilikuwa nikitoka msikiini napitia kabox kangu naenda kupoza njaa,tuvumiliane mkuu.
 
Abuu Dharr

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,783
2,000
Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia.

Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways.

Basi hapo ndio nikajua kuwa kama biashara ya ubwawa imefikia kuviziana kwenye nyumba za ibada, basi, huko majumbani ni shida tupu.
Ikiwa ni nje ya msikiti
Hakuna katazo kisheria
Yupo sawa
Na ni moja ya ubunifu
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,042
2,000
Wewe utakuwa ni mgeni wa kuswalia misikiti hasa misikiti ya Dar,watu wanafanya biashara zao kama kawaida na hakuna shida,kufanya biashara ndani ya msikiti ndio vibaya....japo kuwa wale masheikh wauza madawa huwa wanazitangaza dawa zao pale mimbari kwa imamu halafu pesa wanaenda kupokelea nje...utakuwa umesalia msikiti wa kwa msusa mbagala rangi tatu kuna jamaa huwa anauza pilau la take away kwa buku anakupa na kijiko cha plastiki au nasema uongo ndugu yangu.Tuliza jazba sheikh hiyo ni kawaida jamaa huwa anauwa soko la mama lishe wanaouza pilau buku jero...mimi mwenyewe nilikuwa nikitoka msikiini napitia kabox kangu naenda kupoza njaa,tuvumiliane mkuu.
Mnapenda sana kulakula, mtalishwa hadi mavi.......
Sitakuja kula pilau mbagala
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,753
2,000
Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia.

Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways.

Basi hapo ndio nikajua kuwa kama biashara ya ubwawa imefikia kuviziana kwenye nyumba za ibada, basi, huko majumbani ni shida tupu.
Basi nikadhani ni ile pilau nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,714
2,000
Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia.

Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways.

Basi hapo ndio nikajua kuwa kama biashara ya ubwawa imefikia kuviziana kwenye nyumba za ibada, basi, huko majumbani ni shida tupu.
Hashim Rungwe hakuwepo!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom