Viongozi wetu wa kisiasa nendeni kwenye nyumba za ibada kama waumini na sio kama wasanii kwa kutaka muonekane

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
983
2,053
Nyumba za ibada ni mahali patakatifu na panatakiwa paheshimike , kiongozi mkubwa kwenye hizi nyumba takatifu mala nyingi Huwa padri/ sheikh ,Sasa inakuaje kiongozi wa kisiasa aluhusiwe kuhutubia? Shida inakua ni nini wakati hiyo ni sehemu ya Sala/swala kwani yeye anaenda kama muumini au kiongozi na kama kaenda kama muumini basi asali/aswali kama waumini wengine na kuondoaka.

Katka miaka ya hivi kalibuni nchi yetu imekua na viongozi ambao Kila wakienda kwenye hizi nyumba za ibada basi huambatana na wandishi wa habari ili waonekane wapo kanisani/mskitini na mbaya zaidi hupewa hadi maiki wapige siasa ndani ya nyumba za ibada.

Mwalimu Nyerere alikua mkatoliki kindakindaki na alisali kanisa la mtakatifu Peter lakini sikuwahi kumwona anapewa maiki na kuhutubia mbele ya mazabahu kwa Sababu alienda kusali kama waumini wengine.

Nawaomba viongozi wetu wa Sasa hivi waige huu mfano na waache kutumia nyumba za ibada kupiga siasa kwa Sababu ni jambo lisilokua na afya kwa Nchi yetu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WELL SAID
 
Wana miungu yao mingine wanaabudu...

Nyumba za ibada wanaenda kuuza sura...
 
Upo sahihi sana, siku hizi mpaka apewe nafasi ya kuongea.......then viongozi wa dini nao siku hizi siwaelewi
 
Huku mtaani kuna diwani kila ibada ikiisha anapewa mic akaongee.
 
Nakumbuka marehemu mdhambi alibwabwaja kanisani wiki chache kabla ya kufumba macho mpaka leo

Msifikiri tunapendwa sana
 
Back
Top Bottom