Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

hii ndoa itadumu muda mrefu sana, mbona mawe mengi sana!? wale walioniponda moyo sasa hv wanasema nimevua skirt zao, jamani how comes??
halafu we Lady doctor ulitakiwa uwe kwenye training program ya kule siasani na UNDENIABLE sasa hv nakushangaa upo huku umedoji program!

naangalia usalama wa afya zenu kwanza halafu huyu UNDENIABLE ameniacha kwenye mataa kaenda siasani mwenyewe na nikiwa first lady atanikoma
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom