Unataka kumpa umbeya? ha ha ha ha.. wapo sehemu wanakula good time!!
daah...... Usije ukamuwowa ndugu yangu nitamuonya jamani
hahaha yani hadi raha mpenz.
Kila nikisafiri na wewe unasafiri shem..haya.! mi ndiyo nakaribia Hedaru..
nimeshapita kwa Mrembo by Nature
Upo korogwe? nikupitishie dawa
mkemee kabisa