Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

kiwatengu una upendeleo mbona couple yangu na nitonye hujaitangaza.. Halafu hii couple haina long live ila hongera zao b'cause TheDealer alitaka mwanamke aliyezagaazagaa am happy amempata. Me mimisa and Heaven on earth tulikuwa hatujazagaazagaa

mmmmhhhh tushawazoea, mbona mengi mtaongea siz ia! mtajiju! hii ni mpya kabisaaaaaaaa........inayonoga! long live this couple!
 
Hayawi hayawi na sasa yamekuwaaa...mwenyekiti wa jukwaa Baba V naomba uandikishe hii couple kwenye daftari lako....

TheDealer & Toria

602423_4266331570856_1478088346_n.jpg

Mi nawapongeza tu katika safari yenu mliyoianza hapa...na Mungu awe nanyi siku zote mfike mbali......
Bishanga ushukuriwe kwa ushauri wako wakumtaka kijana awe mpole na aache kuhangaika

Kipepeo hutua kwenye mti uliotulia... TheDealer mtunze Toria na muwe nafuraha siku zote.....

Mvumiliane kwa mema na mabaya...hapa ndani kuna wataalamu wakuharibu haswa wanapoona mnaenjoy...muwe wepesi kuwapotezea...

mimisa na Heaven on earth nyie mlidondokewa kidogo ila kwa hisani ya Lady doctor na my wife shansarie
mkamrudishia kijana moyo wake...mshukuriwe pia.....

Couples na msiyo couples mlioko humu ndani...Toeni Pongezi zenu kwa hii ambayo ni mpya..
Long Live.. Toria & TheDealer


cc; Arabela

Kwa kifupi naomba kusema kwa niaba ya mke wangu kipenzi Toria, tunaombea FAMilia yenu yote ibarikiwe! Wote na tuseme Amen!
 
Last edited by a moderator:
sijapendelea hata kidogo wangu...we kumbuka tu mshikaji alivyohaha...
mwache atulie sasa na anabahati sana kapata mtoto aliyetulia kweli kweli..with love!!

nitonye aliniambia nisitangaze hiyo ya kwako alikuwa na mashaka sana na Baba V akiamini unamzimia na yeye anakuzimia...
Hata kwako nahisi huyu jamaa yako yuko mguu nje mguu ndani

unalo! siz ia utajibeba mwenyewe! ulishikwa hukushikamana! umeona sasa umependa magumegume, sasa kuna kazi moja iliyobaki kwako, nayo ni kunirushia madongo ya hapa na pale kila siku bila kuchoka, haya karibu!!
 
Kweli TheDealer alihangaika sana na sasa katulia maana mtoto mzuriiii namuombea mema amtunze mtoto wa watu,tusijesikia kadondokea wengine tena maana jitihada za kumpata Toria sio mchezo. hope amepata fundisho

naomb nimuulize Toria mmepima maana jamaa sketi zilikuwa hazimpiti kabla ya kukutana nawe ,muonane na Lady doctor kwa vipimo zaiddi

mmmmhhhhhh jamani! sis is not fea!
 
Last edited by a moderator:
Yeah, nikweli maana jamaa alikuwa mtaalamu wa kubinjua skirt nivyema waje wacheki afya zao

hii ndoa itadumu muda mrefu sana, mbona mawe mengi sana!? wale walioniponda moyo sasa hv wanasema nimevua skirt zao, jamani how comes??
halafu we Lady doctor ulitakiwa uwe kwenye training program ya kule siasani na UNDENIABLE sasa hv nakushangaa upo huku umedoji program!
 
Last edited by a moderator:
kuna tuliokuwa tunawaona uchochoroni hatukutaka tu kuwataja asije akakosa jiko

wataje wote! hakuna hata mmoja, najiamini! na kama yupo ajitokeza hapa hadharani! kwa hali hii inaelekea wapo hata watakaokuwa tayari kusema wana mimba yangu ilimradi tu nisitulie na waifu wangu Toria, anyway sio kesi watajibeba wenyewe mwaka huu! mbona walikataa, halafu sasa hv wanahanyahanya tena? waniache nipumzike mtoto wa mwenzenu jamani! nimehangaika sana, na wote mnajua!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom