Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

hahaha mkuu kiwatengu hakuna file limechanganywa apo, unavomwombea mwananthropolojia azidi kubaki huko porini una mpango gani na mimisa? Ndio nakusaidia ivo uijue the guide mapemaaaaa

ha ha ha... mkuu ujue guide itanifanya nikose kote...
mimisa anakipaji sana..sasa huyo jamaa yake huko porini naona kama anazingua hivi..
 
Last edited by a moderator:
Hayawi hayawi na sasa yamekuwaaa...mwenyekiti wa jukwaa Baba V naomba uandikishe hii couple kwenye daftari lako....

TheDealer & Toria

602423_4266331570856_1478088346_n.jpg

Mi nawapongeza tu katika safari yenu mliyoianza hapa...na Mungu awe nanyi siku zote mfike mbali......
Bishanga ushukuriwe kwa ushauri wako wakumtaka kijana awe mpole na aache kuhangaika

Kipepeo hutua kwenye mti uliotulia... TheDealer mtunze Toria na muwe nafuraha siku zote.....

Mvumiliane kwa mema na mabaya...hapa ndani kuna wataalamu wakuharibu haswa wanapoona mnaenjoy...muwe wepesi kuwapotezea...

mimisa na Heaven on earth nyie mlidondokewa kidogo ila kwa hisani ya Lady doctor na my wife shansarie
mkamrudishia kijana moyo wake...mshukuriwe pia.....

Couples na msiyo couples mlioko humu ndani...Toeni Pongezi zenu kwa hii ambayo ni mpya..
Long Live.. Toria & TheDealer


cc; Arabela

Kupendwa raha wajameni yani acheni tu,bwashee langu la nguvu kiwatengu na shansarie mubarikiwe sana maana mna mchango mkubwa kwenye haya maraha nnayoyapata toka kwa santa wangu TheDealer
 
Last edited by a moderator:
Kupendwa raha wajameni yani acheni tu,bwashee langu la nguvu kiwatengu na shansarie mubarikiwe sana maana mna mchango mkubwa kwenye haya maraha nnayoyapata toka kwa santa wangu TheDealer

I see how much u feel it..hilo busu hapo si mchezo!
wanawake wenzio wanatamani sana kama wangekuwa wao...
 
Last edited by a moderator:
unalo! siz ia utajibeba mwenyewe! ulishikwa hukushikamana! umeona sasa umependa magumegume, sasa kuna kazi moja iliyobaki kwako, nayo ni kunirushia madongo ya hapa na pale kila siku bila kuchoka, haya karibu!!

hahaha yani ndo nimeanza hivyo.. Kwahiyo unamwita nitonye gumegume
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu haijalishi kama wewe ni mwanaume au vipi kile kikundi ikileta za kuleta wanakuvalisha kanga unatembezwa mtaani tuu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom