Last edited by a moderator:
copy: shansarie
hisia tu kaka! anyway nimeipenda hii, nahisi itasaidia sana nyakati hizi "IF U WANT 2 IMPROVE UR MEMORY LEND SOMEONE MONEY'"hivi kwanini wakipiga denda wanafumba macho?? nauliza tuu
Hivi mwenyekiti naenda kuandikisha ndoa kwa nani!??? nauliza.. nahisi hili lilisahaulika kwenye katiba.. #nauliza .
Kwa hilo busu tu.. Received and fowarded..
c.c Reveland St. Paka Mweusi . kwa hatua zaidi za kufungisha ndoa.
wewe!!!! u have something which is very very special...
huyu mwananthropolojia awe busy tu na viswala vyake huko porini...
umeanza uchochezi eeeehhhhhh!