Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

sijapendelea hata kidogo wangu...we kumbuka tu mshikaji alivyohaha...
mwache atulie sasa na anabahati sana kapata mtoto aliyetulia kweli kweli..with love!!

nitonye aliniambia nisitangaze hiyo ya kwako alikuwa na mashaka sana na Baba V akiamini unamzimia na yeye anakuzimia...
Hata kwako nahisi huyu jamaa yako yuko mguu nje mguu ndani

Mi mwenyewe nawaangalia tu hapa...
 

aaaah best mbona hata wewe na mkeo
niliwaimbia kipindi kile,au ulitaka rege kidogo!!

unajua kuimba kweli kweli...mtafute BAK akutengenezee video..youtube tuwe tunakuona,
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom