Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

Hayawi hayawi na sasa yamekuwaaa...mwenyekiti wa jukwaa Baba V naomba uandikishe hii couple kwenye daftari lako....

TheDealer & Toria

602423_4266331570856_1478088346_n.jpg

Mi nawapongeza tu katika safari yenu mliyoianza hapa...na Mungu awe nanyi siku zote mfike mbali......
Bishanga ushukuriwe kwa ushauri wako wakumtaka kijana awe mpole na aache kuhangaika

Kipepeo hutua kwenye mti uliotulia... TheDealer mtunze Toria na muwe nafuraha siku zote.....

Mvumiliane kwa mema na mabaya...hapa ndani kuna wataalamu wakuharibu haswa wanapoona mnaenjoy...muwe wepesi kuwapotezea...

mimisa na Heaven on earth nyie mlidondokewa kidogo ila kwa hisani ya Lady doctor na my wife shansarie
mkamrudishia kijana moyo wake...mshukuriwe pia.....

Couples na msiyo couples mlioko humu ndani...Toeni Pongezi zenu kwa hii ambayo ni mpya..
Long Live.. Toria & TheDealer


cc; Arabela

Kwa hilo busu tu.. Received and fowarded..
c.c Reveland St. Paka Mweusi . kwa hatua zaidi za kufungisha ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom