Mpwapwa watibiwa chini ya mti

Mpwapwa watibiwa chini ya mti

Hao watu ukiitishwa mkutano wa serikali, wapo ambao wana vilemba vipya kabisa vya mpigieni kura ccm, chagua Mkapa.
 
Kwa kweli maeneo ya vijijini ni shiiiiiida! Badilikeni,Nyerere alishakufa Nchi wanaongoza wasanii!

Domy hapo Lupeta sio kijijini mkuu ni mjini, ipo pembezoni kidogo ya mji, sio bush huko! Bush ni Huko Igoji au Matomondo ha ha ha wagogo bwana! Watanizangu halafu ni wabishi. mich know balaa!

Hapo wakiletea chakula na serkali au chichiemu kwa kile wao wanaita "mpokeo" haki ua mam hata wakienda wabunge wooooooioite wa Ukawa na watia nia wao wa urais, hawatawaambia kitu juu ya chichiem!

Wagogo hoyeeeeeeeee3ee na mwaka huu ulivyo wa njaa sijui hata kama upinzan utapata kura!
 
Last edited by a moderator:
Hao watu ukiitishwa mkutano wa serikali, wapo ambao wana vilemba vipya kabisa vya mpigieni kura ccm, chagua Mkapa.

Duuuu,kaka jambazi umeniwacha hoiii,yaani wanashindana kutunzavilemba?
 
Domy hapo Lupeta sio kijijini mkuu ni mjini, ipo pembezoni kidogo ya mji, sio bush huko! Bush ni Huko Igoji au Matomondo ha ha ha wagogo bwana! Watanizangu halafu ni wabishi. mich know balaa!

Hapo wakiletea chakula na serkali au chichiemu kwa kile wao wanaita "mpokeo" haki ua mam hata wakienda wabunge wooooooioite wa Ukawa na watia nia wao wa urais, hawatawaambia kitu juu ya chichiem!

Wagogo hoyeeeeeeeee3ee na mwaka huu ulivyo wa njaa sijui hata kama upinzan utapata kura!

Wacha waendelee kujianika juani
 
Last edited by a moderator:
Uzoefu unaonyesha kuwa mikoa yote masikin ndio hutoa kura kwa ccm aslimia zaid ya mia mfano.kwetu dodoma.singida.tabora.shinyanga.hatariiii
 
eti mada kama hizi hazina wachangiaji wengi? penye uhai panapuuzwa kwenye siasa pana shadidiwa. poor us.
 
Halafu pembeni yao kuna libendera kuubwa la ccm!wakitoka hapo wanakwambia ccm imeleta maendeleo..kweli tunahitaji kupimwa akili

Nalo hilo neno laiti wangekuwa wanaingia humu jf kuona hasira za watz bila shaka wangebadilika
 
Nilivoona habari hii, tayari mtia nia George malima Lubeleje ame disqualify....haiwezekani kijiji alichozaliwa akitelekeze namna hii.Nimeona wapo watia nia9 wa ccm pale yani ni mara elfu10 mumchague yule mtia nia kijana mwenye fikra mpya anaweza wasaidia kidogo.Ukizungumza habari za upinzani kwa wagogo hasa wa maeneo hayo unaweza pigwa mawe.
 
Domy hapo Lupeta sio kijijini mkuu ni mjini, ipo pembezoni kidogo ya mji, sio bush huko! Bush ni Huko Igoji au Matomondo ha ha ha wagogo bwana! Watanizangu halafu ni wabishi. mich know balaa!

Hapo wakiletea chakula na serkali au chichiemu kwa kile wao wanaita "mpokeo" haki ua mam hata wakienda wabunge wooooooioite wa Ukawa na watia nia wao wa urais, hawatawaambia kitu juu ya chichiem!

Wagogo hoyeeeeeeeee3ee na mwaka huu ulivyo wa njaa sijui hata kama upinzan utapata kura!

Kuna vitu vingine sio lzm selikari inabidi mobilasation ya wananchi sasa tatizo watu hawa ukisema tuchamgie kusogeza huduma hawataki iyo ndio gharama ya kusubiri vya bure
 
Tatizo sio wananchi apo lupeta ata halmashauri inashida ukiangalia budget yake ya maendeleo inachangia 4% kwaiyo ili kupeleka maendeleo huko wanategemea busket fund ndio kitu kinachochelewesha maendeleo ktk wilaya ya mpwapwa. pili upinzani tanzania bado wanachagua maeneo kupeleka harakati mfano chadema mpwapwa imejaa matapeli tu hakuna mtu serious, pia wagombea vijana wengi sio wakazi mpwapwa wengi ni wasaka vyeo wakipata ulaji makazi yao Dar.
 
Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?

Chanzo: ITV habari

Acha tu watibiwe si wanajifanya hawana akili wala kuona ccm inavyowanyanyasa!
 
Acha tu watibiwe si wanajifanya hawana akili wala kuona ccm inavyowanyanyasa! Siku hilo limti litakapo wadondokea watakua na akili.
 
Nilivoona habari hii, tayari mtia nia George malima Lubeleje ame disqualify....haiwezekani kijiji alichozaliwa akitelekeze namna hii.Nimeona wapo watia nia9 wa ccm pale yani ni mara elfu10 mumchague yule mtia nia kijana mwenye fikra mpya anaweza wasaidia kidogo.Ukizungumza habari za upinzani kwa wagogo hasa wa maeneo hayo unaweza pigwa mawe.

Sehemu kama hizo ukombozi bado uko mashakani sana
 
wagogo hawafai kuurumiwa wao ndio wachaguaji wa maccm.Ccm endeleeni kuwanjonja mpaka mkome
 
Acha tu watibiwe si wanajifanya hawana akili wala kuona ccm inavyowanyanyasa!

Kweli mkuu kwa watu wenye kujitambua hapo ndio ilibidi kura zote wapewa wana mageuzi ili kuwaletea mabadiliko chanya tofauti na hao wabunge wa ccm waliowafikisha hapo kwa miaka 50
 
Back
Top Bottom