Mpwapwa watibiwa chini ya mti

Mpwapwa watibiwa chini ya mti

Lubeleje si huwa anawanunuliwa miwa au wewe mkuu huwa hupendi miwa? kwakweli wilaya ya mpwapwa bado mpo usingizini,mnahitaji kuchapwa viboko ndo mtaamka. Na mwaka huu Lubeleje huenda akarudi mjengoni

Yaani huwa anawanunulia plastic mbili za pombe za kienyeji ambazo thamani yake ni kama 10,000/= kila kijiji na wazee wetu huwambii kitu tena anawaongelesha kiluga ndiyo kabisa, baada ya miaka mitano ndiyo anarudi tena. Yaani kule inatakiwa viboko kabisa
 
Makamanda msichoke wala kukata taama kuhusu utoaji wa elimu huko mpwapwa.Watajitambua tu siku ikifika
 
Cha kusikitisha zaidi ndipo yalipo makao makuu ya CCM na kila siku wanajenga majengo mapya ya anasa ya chama, kununua magari makuu ya chama na kujenga kumbi mpya za bunge chini ya uamuzi wa mwenyekiti wa CCM, na kama haitoshi ndipo yalipo makao makuu ya nchi loh, inasikitisha sana.
 
Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?

Chanzo: ITV habari
ccm inapendwa mahali kusikokuwa na maendeleo .
 
Cha kusikitisha zaidi ndipo yalipo makao makuu ya CCM na kila siku wanajenga majengo mapya ya anasa ya chama, kununua magari makuu ya chama na kujenga kumbi mpya za bunge chini ya uamuzi wa mwenyekiti wa CCM, na kama haitoshi ndipo yalipo makao makuu ya nchi loh, inasikitisha sana.

ccm ni chama chenye roho mbaya sana!
 
Vitu vya ajabu kabisa halafu miaka kadhaa wamekuwa wakidai wameshatenga fedha tayari ya kujenga zahanati kwenye kila tarafa huo ujenzi wa zahanati unachukuwa miaka mingapi.

Regardless of our poverty levels kuna vitu vingine ni unacceptable kabisa na ukute hao wananchi wanatakiwa wakate bima ya afya kutibiwa vilevile vinginevyo ata panadol awapati chini ya mti; hii ni aibu kwa taifa zaidi ya miaka hamsini ya uhuru wananchi kukosa majengo ya huduma muhimu kwa binadamu yeyote.

'All animals are equal, but some animals are more equal than others' ndio fikra zenyewe za social policy zetu bahati na sibu kwenye elimu, afya, nyumba na kila kitu kikubwa ni unapoishi na nafasi yako wengine mpaka apollo wakisema awafai wanakuja kufia wodi zenye hadhi muhimbili wakati wengine ata sehemu za kujifungulia hawana ndani ya nchi moja this is so disrespectful and marginalization of people.
 
Back
Top Bottom