Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Bila kutaja chama ni unafiki wa hali ya juu akiogopa magamba kumfilisi endapo ataamua kujiunga upinzani,,na kutaja kuhamia magamba anaogopa tutaanza kususia kazi zake kama kugoma kuungana kwake na mafisadi.Bila kutaja chama wala jimbo namuona ni mbabaishaji , labda ndo nauli aliyokuwa anaisema hiyo
Msanii wa muziki Mrisho Mpoto (Mjomba) amesema mwaka 2015 amesema atagombea ubunge bila kutaja CHAMA WALA JIMBO ATAKALO GOMBEA ameyasema hayo kwenye kipindi cha tuongee cha star tv leo.
http://3.bp.blogspot.com/-UgPAqcm0Lbo/UH3Np-
h41UI/AAAAAAAACO8/kkSOgo7pHuw/s1600/Mrisho%2BMpoto.JPG
Mpoto ataungwa mkono hapa jf na kusifiwa kwa kila namna,kama tu atasema anagombea kupitia CHADEMA...
He is bogus.... Hana jipya,
so issue si CHAMA wala JIMBO..... hana jipya...
atazidisha tu kuvaa vitenge, better abakie msanii
Bungeni si sehemu ya kudansi dansi.....
Tunataka wabunge CAPABLE, WENYE UWEZO WA KUJENGA HOJA... Elimu muhimu saana bungeni...
Na si usani usanii na uhuni tu .... hamna kitu hapa...
... signing out....
He is bogus.... Hana jipya,
so issue si CHAMA wala JIMBO..... hana jipya...
atazidisha tu kuvaa vitenge, better abakie msanii
Bungeni si sehemu ya kudansi dansi.....
Tunataka wabunge CAPABLE, WENYE UWEZO WA KUJENGA HOJA... Elimu muhimu saana bungeni...
Na si usani usanii na uhuni tu .... hamna kitu hapa...
... signing out....
Huenda akagombea kwenye chama cha mjomba wake. Inawezekana ubunge ndiyo nauli?
Bila kutaja chama ni unafiki wa hali ya juu akiogopa magamba kumfilisi endapo ataamua kujiunga upinzani,,na kutaja kuhamia magamba anaogopa tutaanza kususia kazi zake kama kugoma kuungana kwake na mafisadi.