Mpoki...

Wasichana wa sinza mnaringa nini wakati maji yanatoka mara moja kwa wiki
 
...huyu jamaa anakipaji cha kuchekesha...hatumii nguvu nyingi...ana maneno yasiyokwisha...."bata hata awe mchafu vip, atataga yai jeupeee"
moja ya maneno yake jana kwenye KILI MUSIC AWARDS...

tupia vimbwanga/vijimaneno vyake vingine....
mpoki uwa anaongea maneno ambayo on other hand ukiyafikilia unaona kabisa kwamba yana logic , binafsi uwa namfagilia sana na kwenye comedy uwa naifwatilia bcoz of him na ile session yake ya 'KAUZU ZAIDI YA DAGAA' na wakati ana act kama mhaya nilikuwa napenda vibaya mno.
 
Mr. Bean wetu... mapenzi huanza nyumbani ndio utoke nje. hata yeye kasema jana.
kabisa mamy!

wabongo tunamatatizo kweli,mtu anapofanya vizuri kwa nini tusimpongeze?/kumsifia, au ndiyo yale yale?? unamsifia mtu akiwa kaburini??
 
Mpoki ni zaidi ya mchekeshaji,na siku ile nilikua namtizama na kumsikiliza yeye tu,
Jamaaa yuko fiti sana na anaijua kazi yake!
 
Mpoki ni zaidi ya mchekeshaji,na siku ile nilikua namtizama na kumsikiliza yeye tu,
Jamaaa yuko fiti sana na anaijua kazi yake!

huyo ndio shemeji yangu...asante sana...na za masiku?vip mimba yako imechagua kunichukia mm?
 
..... wajua watu (hasa wadada) wana kupenda mpoki halafu wanachukia kwanini wanakupenda; big up
 
huyo ndio shemeji yangu...asante sana...na za masiku?vip mimba yako imechagua kunichukia mm?
Poa tu shem wangu!
Raha ya mimba yangu inawapenda watu wote hasa wa humu jamvini,

Shemu, yani mie nikimwonaga mpoki hata km hajasema chochote hua najikuta nafurahi mpaka nacheka aisee!
Anastahili sifa kiukweli.
 
Hahaha, aya bana ukikua utaacha hata sisi tulikuwa kama wewe lakini si kihivyo wewe umezudisha lakini tushakuwa watu wazima tushaacha so ni muda wako.
Note: kama kuuza sura yako hakumake ela basi haimake sense kuendeleaa kuuza.

jamaa anaishu za kibwabwa sana
 
Nanukuu "Dada habari,unanijua mm mmh sikujui ,na huku nanaonekana tbc zekomedi,mpoki: naitwa mjuni... Mdada:jingine... Mpoki:aah! Jingine la nn tena... Sista:bac mpoki:dada unasoma wapi? Sista:unauliza na huku unaona hapa n mliman .... Mpoki:unasoma shahada gani?.... Sista:nasoma veta duh! Hahahahahaha.....
 
Kukaa karibu na godown sio kupata kazi, na kukaa Chuo Kikuu siyo kuwa na akili na ndiyo maana kuna mitihani....!!! Jamaa mkali....!:heh: teh teh teh!!!
 
mbona jazba dogo?nna uhakika kama una demu asilimia mia hawezi kunikataa........maneno yako inaelekea umaskini na muonekano wa ajabu ndo unakusumbua!

achana nae huyo dogo ni mchovu na hana akili ni kitoto cha mwaka 90, kinadhani kipo FB
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom