elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
mbona jazba dogo?nna uhakika kama una demu asilimia mia hawezi kunikataa........maneno yako inaelekea umaskini na muonekano wa ajabu ndo unakusumbua!
Mie namuona mtu wa mizodo tu ! Kuchekesha live sio mchezo, inatakiwa mpaka mtu unalia !Nice promo!
mbona jazba dogo?nna uhakika kama una demu asilimia mia hawezi kunikataa........maneno yako inaelekea umaskini na muonekano wa ajabu ndo unakusumbua!
jibu umelibebaHuwezi kuzuia mvua.
Hivi unaweza changia topic yoyote bila kusifia wanaume wenzako na kujisifia wewe kama ni mzuri? Yani nadhani sio mimi pekee ni hakika washangaza wengi.
Topic inamhusu mpoki kuwa mchekeshaji, wewe ushaanza uzuri.
Haya na uzuri wa sura haujalishi sana kinachojalisha ni pesa, famous na kula pamba thats all. Ndo maana unayemwita mnyama anatembea na akina dada mastar si kwamba ana sura inavutia, ni kwamba ni famous, anapiga pamba za ukweli na sa hivi ana ela. Haya nenda na demu wako kwake huyo unaye mwita mnyama na huo uzuri unaodai unao akimtaka demu atakutosa kama vile hakujui.
kwani we mzuri kiasi gani mpaka unamsema ivyo mwenzio?
eh kumbe kuna midume inashindana uzuri umu ndani!!??
Huyu dogo wale waarabu si washamharibu!? Mzoee! Hana tofauti na yule mwenzie alotoboa pua.
Swag tu sema sura ndimu ndo wanahisi wakali wanashindana uzuri!wanashindwa kutofautisha swag na maringo!....usafi siyo utozieh kumbe kuna midume inashindana uzuri umu ndani!!??
Mpoki ni zaidi ya mchekeshaji,na siku ile nilikua namtizama na kumsikiliza yeye tu,
Jamaaa yuko fiti sana na anaijua kazi yake!
Usishindane na star mwenye award ya mauzo we pimbi!!!unamchukia mtu ambaye demu wako anampenda!unapoteza muda