Mpoki...


naona povu linakutoka,mate piya ila umetumwa ucomment ungepita kimya kimya 2
 
Ujue unamshobokea, sredi ina title Mpoki!! Umeifungua haraka haraka na kuchangia ya nini? Vitu vingine vinahitaji mtu kutumia akili kidogo sana..
like nimekupa shobo demu uyo
 
jamaa ni noma ndiye aliye nifanya niangalie ile show mpaka mwisho!
'SIO KUISHI CHUO KIKUU NDO KUWA NA AKILI'
 
si ungekaa silent kwn lzima ucoment, ndo maana alipewa kushereesha sehem nyet kuliko nyeti uliokuwa nayo, mbona hawajakupa wewe?

mh! Punguzeni kulenga ikulu. Mkulu atatangaza curfew muda si mrefu
 
Si kila mtu unayemfahamu lazima na wengine wamfahamu mkuu...

Hata shem wetu hamjui mkuu? Watoto nyumbani (kama unao) hawamuongelei? Hata kazini secretary hajawahi mtaja?
 
he is a living legend!
Hata siku moja gazeti la daily news haliuzwi tandale kwa mtogole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…