mpoki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Mpoki amchamba Chanuo baada ya kufichua siri za aliyekuwa mume wake

    Mchekeshaji Mpoki anafafanua kwa utani mzigo mkubwa wa gharama anaobeba mwanaume kwenye mahusiano, kuanzia hatua za mwanzo za kutongoza na kutoa nauli, hadi kununua pete ya uchumba na kuandaa sherehe . Anaeleza kuwa katika maisha ya ndoa, mwanaume hubeba gharama za kodi, umeme, gari na saluni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hekima za Adv Mpare Mpoki

    Whenever a thief encourages you to go to court, just, know that his elder brother is a judge
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shule ya Pugu mmefeli sana kumuweka Mpoki kuwa mgeni rasmi wa mahafali yenu

    Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
Back
Top Bottom