Mpogolo: Viongozi wote waovu kutimuliwa CCM!

Naibu KM wa ccm aamesema viongozi wenye majungu, fitna magomvi na wanaoendekeza makundi watatimuliwa chamani kama mkakati wa kuijenga upya ccm.Ameyasema hayo mjini Mbeya ambako viongozi wa mkoa wamemuhakikishia lije jua au ije mvua Sugu anapigwa chini uchaguzi ujao.Source Star tv Habari
Siasa si haziruhusiwi
 
Waanze kumfukuza frent page kama kweli si wanafiki.

Kama hii ingekuwa inawezekana, mbona CCM itabaki bila kiongozi? Mbona majungu, fitna na magomvi ndizo sifa kuu za kuwa Kiongozi ndani ya CCM? Tukianza na uongozi wa juu wa CCM, mbona huko ndiko kwenye kiwanda cha majungu, fitna na magomvi? Mwenyekiti ana ugomvi na Katibu Mkuu wake na kaamua kutumia vyombo vya dola kumnyamazisha. Serikali inayoongozwa na hawa watu ndio usiseme...mawaziri wanatishwa kwa bunduki na kufukuzwa uongozi. Ngoja nijinyamazie yasije yakanikuta ya Ben Saanane 😡!
 
Atajitoa mwenyewe pia kwa i naye anaendekeza majungu na fitina.
Mtu mzima tena na wajukuu anakubali kudanganywa kirahisi huko Mbeya halafu anakenua tu, kama hiyo taarifa ameipokea na atawasilisha kwa mwenyekiti wake basi anastahili kutimuliwa yeye kwanza kwa kukubali kupokea ahadi za uongo eti ccm watashinda Mbeya kirahisi tu.
 
[QUOTEwe we.

awia, post: 21023117, member: 165175"]Wanaweweseka[/QUOTE]
Tulia wewe
Cheki hii safu ya kuua upinzani kwenye majiji
Dar-MAKONDA
Arusha-GAMBO
Mbeya-MPOGOLO
Mwanza-MONGELA
Tanga-SHIGELA
Klm-MECK SADIC
Nadhani juzi umeona Chechen za Mzee Mecky Sadiki

Wapinzani Mwafaa
 
Naibu KM wa ccm aamesema viongozi wenye majungu, fitna magomvi na wanaoendekeza makundi watatimuliwa chamani kama mkakati wa kuijenga upya ccm.Ameyasema hayo mjini Mbeya ambako viongozi wa mkoa wamemuhakikishia lije jua au ije mvua Sugu anapigwa chini uchaguzi ujao.Source Star tv Habari
Wapo kwenye kampeni mbona wanaota ndoto za 2020?
 
Kama hii ingekuwa inawezekana, mbona CCM itabaki bila kiongozi? Mbona majungu, fitna na magomvi ndizo sifa kuu za kuwa Kiongozi ndani ya CCM? Tukianza na uongozi wa juu wa CCM, mbona huko ndiko kwenye kiwanda cha majungu, fitna na magomvi? Mwenyekiti ana ugomvi na Katibu Mkuu wake na kaamua kutumia vyombo vya dola kumnyamazisha. Serikali inayoongozwa na hawa watu ndio usiseme...mawaziri wanatishwa kwa bunduki na kufukuzwa uongozi. Ngoja nijinyamazie yasije yakanikuta ya Ben Saanane 😡!
ikifa sindio vizuri wasiwasi wako nini? ccm haikuondolewa na hans pope hakuna wakuitoa tena.
 
Basing your argument on street talk is not a very exercise good exercise for your brain. So, be careful because you are slowly killing your brain cells with this kind of cheap talk.
Street talk? Do you even know the origin of that expression and why it was ever coined in the first place? Well. here goes...

He had overheard the street talk of two equites, whom in more happy days he had known as rising politicians. But the owl never could find out whether these fables were wicked fibs, or fairy tales, or only street talk. His ears felt pounding into them a whirlwind of street talk larded with slang...are you still with me [B]Nyarwadhnyarwath[/B]?

For further info, please feel free to PM me...and now let's get back to the terrorists, CCM.
 
Ina upya gani na nape kaitoa shimoni ikiwa imeoza ?sana kilicho zidi katika uozo huo,ni
Utekaji uliokithiri,uonevu,
Matumizi ya silaha za moto,hovyohovyo hadharani,matusi yaliyozidi ya mkapa jangwani,vitisho mpaka
Kwenye ibada.kama Haya ndo mapya nami nakubali.
 
Street talk? Do you even know the origin of that expression and why it was ever coined in the first place? Well. here goes...

He had overheard the street talk of two equites, whom in more happy days he had known as rising politicians. But the owl never could find out whether these fables were wicked fibs, or fairy tales, or only street talk. His ears felt pounding into them a whirlwind of street talk larded with slang...are you still with me [B]Nyarwadhnyarwath[/B]?

For further info, please feel free to PM me...and now let's get back to the terrorists, CCM.
Bring forth facts and figures to support your argument and not a literature class.
 
Naibu KM wa ccm aamesema viongozi wenye majungu, fitna magomvi na wanaoendekeza makundi watatimuliwa chamani kama mkakati wa kuijenga upya ccm.Ameyasema hayo mjini Mbeya ambako viongozi wa mkoa wamemuhakikishia lije jua au ije mvua Sugu anapigwa chini uchaguzi ujao.Source Star tv Habari
huyo sugu ni mtu mkora kwenye kazi ya heshima. akiongea bungeni mimi hua nazima tv. au atatukana au kukejeli kwa namna isiyofaa. kumng'oa 2020 iwe mkakati sahihi sio kuwadhulumu cdm kura. ccm chini ya jpm iko kwenye mwelekeo mzuri. kwa mbinu sahihi wapiga kura mbeya watamtosa huyo mkora wa bongo fleva.
 
It is OK chama waanze na mbeya mjini kusafisha chama nashangaa mtu wa kuja kuwa mbunge wa Mbeya mjini aliiba kura na kuloga wanambeya mjini uchawi wake na yale maji alioga bagamoyo siku ile nguvu zake hazivuki 2019 ikifika 2020 hashindi yale maji alioga bagamoyo hayatafanya kazi tena na ule uchawi aliochukua kule ajue umefika mwisho
Sugu anashinda kutoka na tu na mgawanyiko waa ccm-Mbeya
 
Back
Top Bottom