johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,332
Naibu KM wa ccm aamesema viongozi wenye majungu, fitna magomvi na wanaoendekeza makundi watatimuliwa chamani kama mkakati wa kuijenga upya ccm.Ameyasema hayo mjini Mbeya ambako viongozi wa mkoa wamemuhakikishia lije jua au ije mvua Sugu anapigwa chini uchaguzi ujao.Source Star tv Habari