johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,636
- Thread starter
- #41
Safari hii atagombea TuliaSugu anashinda kutoka na tu na mgawanyiko waa ccm-Mbeya
Safari hii atagombea TuliaSugu anashinda kutoka na tu na mgawanyiko waa ccm-Mbeya
Kisokorokwinyo hicho. Sugu kafunika wabunge wote waliowahi kuongoza jimbo la Mbeya. Kama ccm ilimshindwa kabla hajaunda halmashauri kwa sasa sahauni. Moshi mjini tangu vyama vingi vimerudishwa ccm haijawahi, na haitawahi tena kuliongoza jimbo. Ifike mahali serikali na ccm mfanye maendeleo, blaablaa hazitawasaidia. Mnawa underate sana Watanzaniahuyo sugu ni mtu mkora kwenye kazi ya heshima. akiongea bungeni mimi hua nazima tv. au atatukana au kukejeli kwa namna isiyofaa. kumng'oa 2020 iwe mkakati sahihi sio kuwadhulumu cdm kura. ccm chini ya jpm iko kwenye mwelekeo mzuri. kwa mbinu sahihi wapiga kura mbeya watamtosa huyo mkora wa bongo fleva.