Mpishano wa ki umri

Mpishano wa ki umri

Warda unachekaaaa mwenyeweeee😆😆

Ndo hivo yaani na ukute macho tu ndo yanaonekana na kipilipili kichwani

Akiambiwa akaoge anaenda kujipaka maji miguu na kichwa ila uso anasahau na shingo anasahau anarudi mwili mchafuuu kuanzia kwenye magoti mpaka mapaja
Nacheka,home tunae mmoja na ni WA kipekee sote wakike,,,huyu kuoga kipengere,kuosha vyombo hii KAZI halishaikataa Bora kudeki ata deki,,,kufua atatoa nguozake nje,atafua mbili TU zingine anaziacha dada zake lzm wafue,,,,kurudi usiku kugonga afunguliwe,haya mambo Kwa mama ni mageni Kwa wakike hatukuwa nayo.
 
Mkuu mbona wanasema ni issue ya uzazi na matunzo tu mwanamke anakuwa vile vile
So wako still unamuona hajachoka?
Mwanamke wakiAfrika Asili yao ni Wanene wenye Asili ya wembamba ni wachache, Mwanamke akishazaa tu anabadilika ana kua mnene,hapa nawazungumzia walioko kwenye ndoa na siyo ambao hawajaolewa, Ambao hawaja Olewa wengi wao hawa benefits kwasababu ya stress za Maisha na kutokua na uhakika wa Matunzo ya mtoto na Baba mtoto muda mwingine anakua hajulikani au hatoi ushirikiano kwenye huduma ya mtoto, Kama Mwanamke kaolewa na akazaa basi asilimia kubwa wananenepa na kuwa na mwili mkubwa kumzidi mume na Tanzani Wanaume wengi tuna miili midogo tofauti na Waafrika Magharibi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom