Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,391
- 3,155
- Thread starter
- #21
Mkuu mbona wanasema ni issue ya uzazi na matunzo tu mwanamke anakuwa vile vileWanawake wanawahi kuzeeka haraka, huyu wangu tumepishana miaka 13 yani 92 /2003 na tuko sawa
So wako still unamuona hajachoka?