Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
2,286
3,018
Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa kuonesha makali yao dhidi ya timu ndogo ya Tembo.

Leo kipa ndio alikuwa the main character na script kaitendea haki haswa ila lile goli la Freddy na la cha Melon wameshindwa kufanya uongo ulingane na ukweli. Shuti jepesi sana na unakopita ni pale pale pale alipo, kiasi kwamba anaweza kufanya clearance kwa miguu au mkono. Hongereni kwa kutupatia maigizo yenye lengo maalumu.
 
Umeumia sana Mkuu, next ni vs Azam. Mpaka ligi ikiisha utakuwa umesema
 
Tarehe 9 mambo yatakuwa hadharani ukweli utajulikana tu! Haiwezakani wenyeji ndio waliongoza kuteleza kwenye uwanja wao kuliko wageni
 
Muda mwingine muwe mnaficha aibu ndogo ndogo sio mpk muandike nyuzi za kiutopolo...nyie mkifunga tano huwa mnakua ktk hali gani? Hizo timu huwa mnazipa hongo? Achana na ya Simba mliyologa mpk majani...hizi za juzi naongelea za timu ndogo
 
Hizi timu za mikoani nyingi huwa hazidumu kwa sababu hizi. Unakuta timu inakamia timu Moja kubwa Nchini, mwisho wa siku upande unaokamiwa unaanza kuihujumu hiyo timu ipotee. Na kwa sababu hizi timu zina mkono mrefu basi zinafanikiwa.
 
Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa kuonesha makali yao dhidi ya timu ndogo ya Tembo.

Leo kipa ndio alikuwa the main character na script kaitendea haki haswa ila lile goli la Freddy na la cha Melon wameshindwa kufanya uongo ulingane na ukweli. Shuti jepesi sana na unakopita ni pale pale pale alipo, kiasi kwamba anaweza kufanya clearance kwa miguu au mkono. Hongereni kwa kutupatia maigizo yenye lengo maalumu.
Tatizo ni huo mwiko,ukiuchomoa tu umepona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom