Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,287
- 3,019
Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa kuonesha makali yao dhidi ya timu ndogo ya Tembo.
Leo kipa ndio alikuwa the main character na script kaitendea haki haswa ila lile goli la Freddy na la cha Melon wameshindwa kufanya uongo ulingane na ukweli. Shuti jepesi sana na unakopita ni pale pale pale alipo, kiasi kwamba anaweza kufanya clearance kwa miguu au mkono. Hongereni kwa kutupatia maigizo yenye lengo maalumu.