Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.
Baada ya mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (1 - 0) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima Stars penalty ya wazi.
Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya mashindano ya AFCON.
Tumuombe kiongozi wa msafara Paul Makonda awafikishie viongozi wenzake jinsi inavyouma pindi unaponyimwa haki yako.