Hahahaha... we ms3nge umejua kunifurahisha,Nguvu iliyotumika kuikataa ile penalty iliendana na makelele waliyopiga benchi la ufundi na wachezaji wa taifa Stars.
🤣🤣🤣🤣🤣We unanitajataja nini...ukinitaja lazima uwe na milioni 100..bumbavu
Wanalalamika nini hawa wamefungwa kwasababu wameshindwa kucheza vizuri na hawakujipanga tudumishe amani ya AFCON hiki kikundi cha watanzania wachache walio shindwa kihalali wasitake kutuvurugia amani yetuRefa alikuwa huru na ameamua kwa haki kabisa, wanalalamika kwa sababu wamefeli
HahahaWanalalamika nini hawa wamefungwa kwasababu wameshindwa kucheza vizuri na hawakujipanga tudumishe amani ya AFCON hiki kikundi cha watanzania wachache walio shindwa kihalali wasitake kutuvurugia amani yetu
Ni jambo zuri kwa chawa nao kupitia maumivu kama watu wengine.Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.
Baada ya mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (1 - 0) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima Stars penalty ya wazi.
Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya mashindano ya AFCON.
Tumuombe kiongozi wa msafara Paul Makonda awafikishie viongozi wenzake jinsi inavyouma pindi unaponyimwa haki yako.
Kwamba huenda wakashtuka?Ni jambo zuri kwa chawa nao kupitia maumivu kama watu wengine.
Lakini kwa mechi ya jana alichofanya refa ni amani 100% na amani ndio kitu cha muhimu. Hawa wanaodai haki wanataka kuzua taharukiAFCON - HAKI
TFF - AMANI
Gamondi anahamasusha vurugu. Anatakiwa kupewa kesi ya uhaini na CAF.Hahahaha... we ms3nge umejua kunifurahisha,
Eti watu walalamika Gamond kupewa ile kadi kwa hiyo walitaka refa afanye nini sasa? na wakati alikuwa analazimisha penati hili kupindua matokeo ubao usomeke 1-1, siku nyingine awaambie wachezaji wake watumie nafasi za wazi hili wasilete vurugu kama zile hata wakinyimwa penati dk za mwisho.
Dogo Chizi sana hahahahWatanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.