Mpira bana yaani miaka 34 tu unaitwa mzee

Mpira wa kulipwa kwa wenzetu unaanzia ukiwa miaka 6 huko academy unaanza kuingia kucheza timu kubwa miaka 16 na 18 unaanza kupata mikataba mikubwa baadhi ya nchi.sisi huku academy bado sana mpira unasomeshwa na baadhi ya nchi kwa week unaenda mara mbili hadi tatu.sisi huku tunacheza mpira ubabaishaji mwingi na kudanganya miaka.mwisho ni balaa la kufa uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…