DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
Kuna jamaa mmoja amejaliwa mpipi mkubwa alikuwa akioga mtoni basi akapita mzee mmoja hivi na kuuona ule mpipi wa kijana na kujisemea "Hapa duniani kuna watu wamejaaliwa ebu check mzigo wa yule kijana" kisha akaenda zake.
Baada ya siku chache ikaletwa posa kumposa binti ya yule mzee, washenga wakakamilisha mambo yote ikabaki utambulisho wa mkwe mtarajiwa.
Sasa kimbembe ni siku ya utambulisho baada ya yule mzee kugundua kwamba mkwewe mtarajiwa ni yule kijana aliyekuwa akioga mtoni unaambiwa mzee uligoma kata kata kumuozesha bintiye na kumpasha live yule jamaa "kha weye kijana una wazimu nini? hivi mdushelele wote huo ulionao unategemea nikupe binti yangu?