Marafiki wa MM ni watu dhaifu sana aisee...You need to change brother, this type of friends will take you nowhere...Nahisi wanaogopa kukushauri, au wameshaona unawazidi mno uwezo (na kwa kweli unawazidi mno) sasa umekuwa kama 'muota ndoto' wao....
Get rid of these useless guys....Pasco, msaidie ndugu yetu huyu...
Kansa ni ugonjwa mZito sana kwa maisha ya binadamu awaye yote...