Mpinzani wa JK apeta TUCTA

Big Up Mgaya Mungu akubariki afya na nguvu katika kupigania haki za wafanyakazi hasa kodi kubwa wafanyakazi wazalendo wanazolipa wakati wafanyakazi wageni wewe mishahara MINONO kwelikweli hawalipi kabisa au wanaolipa wanalipa kiduchu hasa kwenye sector za madini na makmpuni yaliyowekeza wakati kwa nchi nyingi za Ulaya foreigner anayefanya kazi ndiye analipa kodi kubwa kuliko wazawa

nawakubali waliochaguliwa hasa katibu mkuu na naibu wake Kaaya, hata RAAWU tulimpitisha! Upande wa M/kit wa wanawake mhh No! Huyu Kapoli boya tu, Raawu tulimkataa hana mkakati wowote wa kuwakomboa wanawake mswahili mno my be hakuwa na mpinzani! Solidarity for ever, hebu nijiandae make soon Baraza kuu litaitwa kumchagua mrithi wa Kaaya!

Safi sana Mgaya,Hongera sana,unachotakiwa ni kazi hasa kazi kweli kweli sio maneno wala porojo,usikubali siasa za CCM za kusema jambo hili linashughulikiwa hata kwa miaka 10.hakikisha haki za wafanya kazi zinapatikana kwa wakati,wasikupige siasa wala usiogope vitisho vya kuita wazee wa DAR na kuja na wakuu wa majeshi.

Mgaya namkubali huwa haogopi safi sana

unakumbuka kabla ya uchaguzi 2010 alipohojiwa na vyombo vya habari na kuulizwa anaizungumziaje kauli ya 'kilaza' ya kutotaka kura za wavuja jasho? Alisema hakumbuki kama rais aliwahi kusema maneno hayo!
my take: huyu naye ni kigeugeu tu!

Ninesoma kwenye gazeti la Tanzania daima Mpinzani wa JK apeta TUCTA, kuwa wabunge wa viti maalum CCM wametimuliwa kwenye kukao cha tukta kwa kuwa wao sio wanachama! Wadau, uwezekano huo upo kumteua mtu kuwa mwakilishi wa kikundi asichokijua? Au uteuzi wa wabunge viti maalum wakiwa kama wawakilishi wa jumuia huzingatia vigezo gani?

Hiki ndo ulichosoma? Au una asil ya uchakachuaji?

huleeee mgaya wewe ni ak47 kwenye uchaguzi wa 2015 ila chunga uhai wako maana wanaweza kukukolimba!
Alafu huwa nachoka wabunge wawakilishi wa wafanyakazi hawatambuliwi na tucta apo ccm ndo mwaniachaga hoi kwa kuforce kinga

umeona enhee...lini mtoto wa kawawa akafanya kazi aliyomapndisha na kuwa mwakilishi wa wafanyakazi? Si utapeli tu wa ccm?

hiki ndo ulichosoma? Au una asil ya uchakachuaji?

maengo uwe makini. Alichokiandika ni sum up ya hbr ile, amemalizia na alama ya ! Kisha akawataka wadau wampe ufafanuzi wa kuwepo uwezekano wa mtu kuteuliwa kuwa mwakilishi wa kikundi asicho mwanachama wake.

safi sana mgaya,hongera sana,unachotakiwa ni kazi hasa kazi kweli kweli sio maneno wala porojo,usikubali siasa za ccm za kusema jambo hili linashughulikiwa hata kwa miaka 10.hakikisha haki za wafanya kazi zinapatikana kwa wakati,wasikupige siasa wala usiogope vitisho vya kuita wazee wa dar na kuja na wakuu wa majeshi.

".............na mkiandamana, wapo watu watawashughulikia......" J.k mrisho 2010. kulia kwake alikuwepo mwamnyange-jwtz na kushoto kwake mwema-igp-polisi. Ana kiburi sana mtu huyu, na bahati yake watanzania bado hatujathubutu kama walibya, siku tukithubutu huyu mwema na mwamnyange wake hawatasaidia kwani pamoja na askari ni kufuata amri za wakubwa wao, watekelezaji wakubwa wa amri hizo bado maisha yao ni duni sana, ipo siku watatambua ugumu huo na watagoma kutekeleza maamuzi ya wakuu wao. Siku zinahesabika.

nawakubali waliochaguliwa hasa katibu mkuu na naibu wake kaaya, hata raawu tulimpitisha! Upande wa m/kit wa wanawake mhh no! Huyu kapoli boya tu, raawu tulimkataa hana mkakati wowote wa kuwakomboa wanawake mswahili mno my be hakuwa na mpinzani! Solidarity for ever, hebu nijiandae make soon baraza kuu litaitwa kumchagua mrithi wa kaaya!

labda mtu wa posho tu, hana la ziada. Akisha tia zake, wafanyakaz shauri ye2. Ni akina mama wachache wanaokuwa na misimamo ambayo inahatarisha maisha. Wanaume katika hili hatujambao kidogo.

Mie nilikuwa simjui hadi siku JK alimpompigia debe mbele ya wazee wa dsm.......hongera Nico

Hongera Mgaya na tunakutakia utendaji mwema katika jukumu lako jipya.

Kuhusu hili la wabunge wa CCM bado sielewi inakuwa na maana gani? Hivi CCM walienda Tucta kuomba wawakilishi? Je hao ni wabunge wa Tucta peke yake au na vyama vya wafanyakazi vingine vilipewa wabunge wa viti maalum?

Naona maswali juu ya wabunge hao ni mengi, nisije kuwachosha ndugu zangu!

kuhudhuria kwa mtoto wa rais na waziri lazima kunaenda mbali zaidi ya kutaka mgaya asichaguliwe, na huu ndo ukweli, wabunge walioingia kupitia vyama vya wafanyakazi hawatambuliwi na tucta, hivi wafanyakazi wa ccm hawatambuliwi na shirikisho hili!!

sifa mojawapo ya kuwa mfanyakazi mmoja wa chama, lazima uwe mwanachama kwani kuna kutunza siri za chama na kutanguliza maslahi ya chama mbele labda uwe mamuluki. Hivyo siku zote utatanguliza maslahi ya chama chako. Tucta ni zaid ya chama, hivyo wawakilishio wake hawatakiwi kutoka chamani directly, wanatakiwa kutoka kwenye umoja huo

Back
Top Bottom