Mpinzani aongoza Uchaguzi Nchini Zambia

Mpinzani aongoza Uchaguzi Nchini Zambia

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
1,767
Reaction score
2,858
Zaidi ya majimbo 6.wapinzani waongoza na huenda wakachukua serikali. Jana vijana waligoma kuondoka vituo vya kupigia kura na walilinda kura zao kwa Umahiri wa hali ya juu.Baadhi ya watu waliopata kupenyeza kura feki walipata vipigo na wengine walipoteza maisha vyombo vya usalama vilitimiza wajibu wao kikamilifu..
 
Issue ni mpinzani kushinda ndo inawafariji.....

Hata akiwa mamluki haijalishi siyo.....
Yaani hapa Huwa nachoshwa na akili za CCM.Wao wakishirikiana Wazungu ,wanawaita wawekezaji,wadau wa maendeleo.Upinzani wakijaribu kushirikiana na hao hao Wazungu,wanawaita mamluki,na mabeberu na majina mabaya mabaya🤣🤣🤣
 
kihalali pf haitoboi labda kwa kuhujumu wakisaidiwa na vyombo vya dola lakini zambia uzuri kuna kitu kinaitwa police service ambapo hakuna kutumia nguvu dhidi ya raia pasipo sababu zamsingi,hii itasaidia sana upizani kulinda kura zao na kuletwa kwa premarked votes za pf . Let's wait and see.
 
Usishangae ngoma ikapigwa tiktaka,ndio watujua hawajui.
Kumbuka Lungu alikuwa Swahiba na mtu fulani ambaye hivi sasa anachakazwa na moto wa jehanamu kwa ufedhuri aliowafanyia watu.
 
Sisi wa Tunduma border hapa tunasubiri tu matokeo maana hawa ni ndugu kabisa wakizingua kutangaza wapinzani nasisi tunaenda kutoa support maana wale na sisi ni kabila 1

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zaidi ya majimbo 6.wapinzani waongoza na huenda wakachukua serikali. Jana vijana waligoma kuondoka vituo vya kupigia kura na walilinda kura zao kwa Umahiri wa hali ya juu.Baadhi ya watu waliopata kupenyeza kura feki walipata vipigo na wengine walipoteza maisha vyombo vya usalama vilitimiza wajibu wao kikamilifu..

Cha kushangaza huyo Lungu alikua mpinzani kaingia nayeye akawa fisimaji
 
Back
Top Bottom