Mpinzani aongoza Uchaguzi Nchini Zambia

Zaidi ya majimbo 6.wapinzani waongoza na huenda wakachukua serikali. Jana vijana waligoma kuondoka vituo vya kupigia kura na walilinda kura zao kwa Umahiri wa hali ya juu.Baadhi ya watu waliopata kupenyeza kura feki walipata vipigo na wengine walipoteza maisha vyombo vya usalama vilitimiza wajibu wao kikamilifu..

Bila tume huru tegemea mabegi meusi wakati wowote.
 
Mamluki ndio nini
zambia wanademokrasia ya kweli lakini kutokuwa wanafiki au upendeleo kwa wale walio na dhamana ya kuwaongoza raia kama wa mkuu wa tume, wakuu wa vyombo vya usalama kimewasaidia sana. wao wanakuwa mtu kati ,wanakuwa unbias wanapotekeleza majukumu yao ;ndio kitu kimefanya demokrasia yaokuwa tofauti na nchi nyingine kiafrica ambapo hawaangalii katiba inasema nini bali bali bosi anataka nini na hata ikiwezekana kutengenazingira ya kumkomoa mtu .
 
Zaidi ya majimbo 6.wapinzani waongoza na huenda wakachukua serikali. Jana vijana waligoma kuondoka vituo vya kupigia kura na walilinda kura zao kwa Umahiri wa hali ya juu.Baadhi ya watu waliopata kupenyeza kura feki walipata vipigo na wengine walipoteza maisha vyombo vya usalama vilitimiza wajibu wao kikamilifu..
Mungu ibariki Zambia
 
Mpaka mda huu 1800.central African time...62constituences HH lead Lungu Edgar Chagwa by 484000. Votes!!
 
Sisi wa Tunduma border hapa tunasubiri tu matokeo maana hawa ni ndugu kabisa wakizingua kutangaza wapinzani nasisi tunaenda kutoa support maana wale na sisi ni kabila 1
Ila kwenu mmeshindwaje kutoa support? Unaachaje nyumba yako inaungua unaenda kuzima kwa jirani?
 
Back
Top Bottom