cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,749
- 189,134
Kukosoa ni kosa?Kusifia ni kosa?
Kukosoa ni kosa?Kusifia ni kosa?
AkalimeKukosoa ni kosa?
Hujajibu swali.Akalime
Ujinga mtupuKijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante
Nimecheka vibaya, mlikuwa mnasema Lisu hawezi siasa alitakiwa akae na kina Mbowe waelewane. Mnashindwa nini kuelewana na Mpina au Gwajima.Kijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante