Mpina na Gwajima ondokeni CCM mapema

Mpina na Gwajima ondokeni CCM mapema

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,277
Reaction score
13,920
Hawa ni watu wawili ambao wanaweza kuondoka CCM na maisha yao yakabaki kama yalivyo sasa.

1. Hawapendi yanauoendelea ndani ya CCM wala serikali
2. Vipato vyao havitegemei serikali

Gwajima ni kama Ndesamburo ambaye biashara zake za utalii serikali ilishindwa kuzihujumu. Gwajima pesa yake inatokana na sadaka na makanisa ya nje yanayo mpa pesa. Ameshaweka pesa za kutosha nje na kila siku anapata pesa zaidi na zaidi. Kwanza siku hizi ndiyo anaficha pesa kuliko hata zamani. Mpina ana makampuni ya kusafisha pamba makubwa. Hawa wawili sitashangaa wakiondoka CCM! Kikubwa ni lini?

Nawashauri watasaidia zaidi nchi upande wa wapinzani kuliko huko kwa wapigaji
 
Unafikiri wao hawana akili kama wewe?!!!
 
Nje ya CCM watapotea. Siasa za upinzani sio nyepesi.
 
Wajiulize wanatafuta nini hasa kwenye siasa. Gwajima kila siku anakosoa mambo pesa anayo sasa tatizo ni nini kuweka mapenzi ya kinafiki
 
Hawa ni watu wawili ambao wanaweza kuondoka CCM na maisha yao yakabaki kama yalivyo sasa.

1. Hawapendi yanauoendelea ndani ya CCM wala serikali
2. Vipato vyao havitegemei serikali

Gwajima ni kama Ndesamburo ambaye biashara zake za utalii serikali ilishindwa kuzihujumu. Gwajima pesa yake inatokana na sadaka na makanisa ya nje yanayo mpa pesa. Ameshaweka pesa za kutosha nje na kila siku anapata pesa zaidi na zaidi. Kwanza siku hizi ndiyo anaficha pesa kuliko hata zamani. Mpina ana makampuni ya kusafisha pamba makubwa. Hawa wawili sitashangaa wakiondoka CCM! Kikubwa ni lini?

Nawashauri watasaidia zaidi nchi upande wa wapinzani kuliko huko kwa wapigaji

Nilisha waambia kuhusu Gwajima
 
Upigaji hata upinzani upo ndio maana kuna hama hama zisizoeleweka. Audi yetu mkubwa sisi wa Afrika ni ubinafsi na tamaa ndio maana hatuendelei. Ukiwafuatilia Chadema wa leo wanazungumzia yale yale aliyokuwa akiyashughulikia JPM, rushwa, ufisadi, ujenzi wa viwanda nk. kitu ambacho wao walimpinga au hawakumuunga mkono kipindi kile JPM akipambana navyo.

Nionavyo mimi hivi vyama vya siasa vya Afrika vinatekeleza matakwa ya wafadhili wao huko nje na sio matakwa ya wananchi. Upinzani wao kila kukicha wao wanadai demokrasia ili iwasaidie wao waingie ikulu nao wakale. Ukifuatilia kilichoharibu mchakato wa katiba mpya kule Dodoma ni ubinafsi wa wanasiasa. Kila chama kilitaka kiweke maslahi yake mbele badala ya maslahi ya taifa na raia mwishowe wakashindwana.

Kwa maoni yangu katiba ya nchi ilipaswa iundwe na wenye nchi yaani vyombo vya ulinzi na usalama na sio wanasiasa, wao wapewe tu kuitekeleza. Demokrasia ni hatar sana kwa maendeleo ya mwafrika. Leo hii tunaona maendeleo ya kasi ya nchi ya Rwanda hasa kwenye technolojia. Tunaona pia huko kwa Traore mambo yanavyoenda. Tulishuhudia pia maendeleo makubwa na ya kasi ya ajabu ya Tz chini ya utawala wa JPM ambao wengine wanadai alikuwa dictator. Afrika tusiwe washabika wa vyama vya siasa na wanasiasa, inapaswa tuwe na mifumo imara ya kiutawala na kama hilo haliwezekani basi tuchague watu wenye dhamira ya kweli ya maendeleo na wenye uchungu na wananchi.
 
Mwisho umemaliza na kauli ya ktoa wito kuwa
"basi tuchague watu wenye dhamira ya kweli ya maendeleo na wenye uchungu na wananchi"

Ina maana bado unawazingatia wanasiasa.
 
Hawa ni watu wawili ambao wanaweza kuondoka CCM na maisha yao yakabaki kama yalivyo sasa.

1. Hawapendi yanauoendelea ndani ya CCM wala serikali
2. Vipato vyao havitegemei serikali

Gwajima ni kama Ndesamburo ambaye biashara zake za utalii serikali ilishindwa kuzihujumu. Gwajima pesa yake inatokana na sadaka na makanisa ya nje yanayo mpa pesa. Ameshaweka pesa za kutosha nje na kila siku anapata pesa zaidi na zaidi. Kwanza siku hizi ndiyo anaficha pesa kuliko hata zamani. Mpina ana makampuni ya kusafisha pamba makubwa. Hawa wawili sitashangaa wakiondoka CCM! Kikubwa ni lini?

Nawashauri watasaidia zaidi nchi upande wa wapinzani kuliko huko kwa wapigaji

View: https://youtu.be/jDHFIU7jeoQ?si=ooI_2FoJ1NVhM0T9
 
Back
Top Bottom