Mpina ni shujaa wa CHADEMA... walimsifia sana
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Huyubsasa ndie mzalendo wa kweli hongera mpinaMpuuzi huyu! Kura lazima ziibiwe na asije kutulilia hapa!
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz

ACT ni Chadema.ACT ni CCM..
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Kwanza wakifuata utaratibu jamaa hana sifa za kugombeaMpuuzi huyu! Kura lazima ziibiwe na asije kutulilia hapa!
Hee, ana imani na iNEC??Mpina: Hakuna kura itakayoibiwa, tuna imani na INEC
Na mkurugenzi wa uchaguzi alivyo anaweza kukubali lile pingamizi alilowekewa na hivyo atakuwa amepotezwa maana wanajua na kule kwenye ubunge muda utakuwa umeisha na hivyo atakuwa ameondolewa kwenye siasaKwanza wakifuata utaratibu jamaa hana sifa za kugombea