Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
nadhani tuna malezi tofauti, sawa uko sahihiAnayekutusi mtusi
nadhani tuna malezi tofauti, sawa uko sahihiAnayekutusi mtusi
Ninyi pro shetani mtulie tu nchi inakwenda na hatokaa arudi tena wala wasukuma hatuwapi tena hii nchiTerrible teen as your name very pathetic and imbecile
USSR
Uwa najiuliza alifanya nini hadi JPM akamuona jamaa ni kichaa kuliko yeye.Mpina atatufaa sana 2025.Uwezo wake hauna mashaka kabisa.ukiwajumilisha wabunge wengine wote wa ccm ndiyo watamkalibia kidogo uwezo wake.2025 twende na mpina kwa maendeleo ya Tanzania.
Na huu ndio ukweli mtupu kiongozi. Kakufa Kakufa tuHuyu Mpina mwehu anaongea kwa chuki tu anatamani marehemu afufuke. No objectivity at all.
Huna akiliHuyu Mpina mwehu anaongea kwa chuki tu anatamani marehemu afufuke. No objectivity at all.
Wajinga wa aina yako huwa ndivyo walivyo wao huwa wanaacha hoja ya msingi wanaingiza hoja ya kipumbavuMwambie arudishe ranchi ya wananchi wa mvomero aliyokwapua akiwa waziri wa Mifugo na Uvuvi
Tumekandwa ten!!![emoji1787]Hapa jamaa yuko mbele sana hapa anachambua hadi Bashe anakalia moja
Kumbe walipiga pesa za kilimo za maendeleo,walizibadilishia matumizi,upigaji
Mfumo wa kufunga GPS ni kutafuta matumizi upigaji hatuna fungu hilo ni matumizi mabaya huku hakuna pesa
Mfumo wa kukusanya data za wakulima hasa ugawaji wa mbolea uliruhusu wizi mkubwa wa pesa
My take,mpina ni Lisu kumi na Dk slaa kumi
USSR
Free Dawa Juma.Terrible teen as your name very pathetic and imbecile
USSR
Umeandika vizuri ila mwishoni ukaweka ujinga uojaaa kichani mwako. CCM MAJIZI PERIOD!!!!My take,mpina ni Lisu kumi na Dk slaa kumi
Utastaafu wewe utamuachaAtafute chama kingine au astaafu siasa come 2025.
Yeye Lissu anasemaje kuhusu Mpina?Hapa jamaa yuko mbele sana hapa anachambua hadi Bashe anakalia moja
Kumbe walipiga pesa za kilimo za maendeleo,walizibadilishia matumizi,upigaji
Mfumo wa kufunga GPS ni kutafuta matumizi upigaji hatuna fungu hilo ni matumizi mabaya huku hakuna pesa
Mfumo wa kukusanya data za wakulima hasa ugawaji wa mbolea uliruhusu wizi mkubwa wa pesa
My take,mpina ni Lisu kumi na Dk slaa kumi
USSR
Mpina au mpima samaki kwa rula tena aliyekwishapikwa au kukaangwa. Swali alikuwa hajui wanatokea wapi.OK, MPE maua yake kwanza. Mpina ndiye mwanasiasa kwa sasa Tanzania'
Kuwatetea Watanzania ni kazi ya kujitoa akili maana hata hawajui wanataka nini. Huoni hata makamanda wamebwaga manyanga hatimaye....Imagine mtu mpaka unamiminiwa risasi lakini mijitu unayojaribu kuitetea ipo ipo tu haijitambui!OK, MPE maua yake kwanza. Mpina ndiye mwanasiasa kwa sasa Tanzania'
Siasa za maji taka. Jikite kwenye hoja ya sasa usijitoe ufahamu. Kwamba anachokiongea wewe huoni uzito wakeMpina au mpima samaki kwa rula tena aliyekwishapikwa au kukaangwa. Swali alikuwa hajui wanatokea wapi.
Sahihi mkuu. Mbinu ya tenga utawale imeziathiri sana siasa za Tanzania. Watanzania hawajui hasa wanachokitaka.Kuwatetea Watanzania ni kazi ya kujitoa akili maana hata hawajui wanataka nini. Huoni hata makamanda wamebwaga manyanga hatimaye....Imagine mtu mpaka unamiminiwa risasi lakini mijitu unayojaribu kuitetea ipo ipo tu haijitambui!
Majizi ya nchi hii yataiba mpaka yatakapochoka menyewe tu 🚮🚮🚮
Wewe na mama yako alietumbuliwa cheti feki sio!Ninyi pro shetani mtulie tu nchi inakwenda na hatokaa arudi tena wala wasukuma hatuwapi tena hii nchi
Nipe mama yako anipe akiliHuna akili