Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,181
Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.
View attachment 3437363