GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma 😂 ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
Tofauti yako na Luca wewe huna posho unajitolea..!!
 
Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.

View attachment 3437363
Tuoneshe mmoja aliyepingana na Mwenyekit6i wake akaondolewa maisha.

Tusijazane ujinga.
 
Tofauti yako na Luca wewe huna posho unajitolea..!!
Nyie chadema mlimuona Mpina kama masihi wenu kama mnavyomuona polepole sasa hv, ila mkashangazwa kama ambavyo mtashangazwa na polepole soon
 
Nyie chadema mlimuona Mpina kama masihi wenu kama mnavyomuona polepole sasa hv, ila mkashangazwa kama ambavyo mtashangazwa na polepole soon
Injection imeingia naona unanikwoti mara mbilimbili 😹😹
 
Kwmaba hujui ni project ya nani kwa manufaa ya nani!!!??? Kuwa serious aisee.
Mpina ni project ya CCM kwa maslahi ya CCM na washirika wao.
Unaposema ni project,ni vizuri ukafafanua kivipi? Elezea wengi wakuelewe,toa ushahidi kwamba ni project,.,mfano wewe hapo mtu akikutuhumu kua umemwibia,ni vyema atoe ushahidi,mambo hayatakiwi kukaa hewani hewani tu, vinginevyo ulimwengu utakua wa vurumai,,hatuendi hivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom