Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,768
- 103,586
Sio kwamba nna chuki, tatizo n nmeongea kitu usichokipenda.Nakuelewa una chuki binafsi ndiyo maana unawahusisha kwenye mambo yasiyo wahusu.
Fahamu kutofautisha hayo.
Sio kwamba nna chuki, tatizo n nmeongea kitu usichokipenda.Nakuelewa una chuki binafsi ndiyo maana unawahusisha kwenye mambo yasiyo wahusu.
CHADEMA haikuwa na mlengo wa CCM hata chini ya Mbowe. Kilichotokea ni Mbowe kukaa mno madarakani, akalewa na kujiona yeye ndiye CHADEMA. Bila kusahau kuwa ni kweli Mabowe ana asili ya kupenda kujinufaisha binafsi kwenye siasa.Chadema ya Mbowe ilikuwa ni CCM project oriented,
Hakuna mwanachadema anaweza kumsifia Polepole mtu ambaye alishirikiana bega kwa bega na dhalim Magufuli kuihujumu Chadema, watu wanachofanya ni kuchochea moto tu maccm wazidi kuhasimiana.Akili zitawakaa vzr tuu, msifieni polepole sasa hv afu siku akihama ccm na kuhamia pengine tofauti na chadema mje na matusi yenu kama mnavyofanya kwa Mpina sasa hv
Umesema uongo lazima tukanushe.Sio kwamba nna chuki, tatizo n nmeongea kitu usichokipenda.
Fahamu kutofautisha hayo.
Hakuna uongo hapo, labla useme hutaki kuupokea ukweli.Umesema uongo lazima tukanushe.
Sasa Chadema wachukie Mpina kwenda kugombea ACT Wazalendo kwani wao Chadema wanashiriki huu uchaguzi?Hakuna uongo hapo, labla useme hutaki kuupokea ukweli.
Mtu akiongea ukweli khs chadema mnaanza kusema huyo ni ccm, mm sina chama na siasa nazisomea hapa JF tofauti na hvy sijui chochote kile.
Kisa tuu Mpina hajaamia chadema? Na kisa hao wametoka huko chadema?
Mpina angekuja chadema mngesema ni project za watu?
Yaani kwao mpinzani ni lazima awe CDM tu kinyume na hivyo ni pandikiziKisa tuu Mpina hajaamia chadema? Na kisa hao wametoka huko chadema?
Mpina angekuja chadema mngesema ni project za
Ilitakiwa msimamiz apatikane vipUpo sahihi, kuna ujinga ACT eti wamekataa DEDs wasisimamie uchaguzi na badala yake DEDs wanateua wakuu wa idara waliochini yao pamoja na officers wengine, yaani HoD atakataa maagizo ya DED? eti unaita kuna uchaguzi badala ya utapeli na ulaghai tupu
zaMpina kajivua nguo ila inawezekana akujua maana Zitto ndio mtu wa kati akumuambia ukweli chama cha nani, ila ningekuwa Mpina ningejiuzuru kabla hata uchaguzi ili alinde uaminifu wake kwa watanzania.
Sidhani kama CHADEMA walitaka aende kwao kwa sababu msimamo wao ni kutoshiriki uchaguzi. ACT siyo chama cha upinzani tena. Huku bara, ni kama hakipo isipokuwa kibaraka Zitto na wafuasi wachache sana. Visiwani walishaingia kwenye serikali ya umoja hivyo usitegemee tena wajipinge wenyewe...
Hapo sawaHana cha kupoteza si ni mbunge wa kitaifa mtarajiwa kwenye zile nafasi zetu 10
za
Sasa wao kuhamia huko inawauma nn wakati uchaguzi hauwahusu?Sasa Chadema wachukie Mpina kwenda kugombea ACT Wazalendo kwani wao Chadema wanashiriki huu uchaguzi?
Ila nchi hii Kiboko... Najikuta najibu maswali mengi sana watoto wa shule wakipata mashaka na future zao!Upo sahihi, kuna ujinga ACT eti wamekataa DEDs wasisimamie uchaguzi na badala yake DEDs wanateua wakuu wa idara waliochini yao pamoja na officers wengine, yaani HoD atakataa maagizo ya DED? eti unaita kuna uchaguzi badala ya utapeli na ulaghai tupu
Weka ushahidi wa official statement ya Chadema kulalamikia Mpina kwenda ACT Wazalendo.Sasa wao kuhamia huko inawauma nn wakati uchaguzi hauwahusu?
Isingesemwa ni projects za watu maan CDM ya lissu sio sio CDM shikizi!!Kisa tuu Mpina hajaamia chadema? Na kisa hao wametoka huko chadema?
Mpina angekuja chadema mngesema ni project za watu?
Atapelekwaje kwa CDM ya lissu wakat lissu sio kiongoz shikizi?Kwa hiyo ulitaka ajiunge chadema ?